Skip to main content
Uliikosa picha aliyoiweka Rais Kikwete twitter baada ya kukutana na Wapinzani na alichoandika?
Baada
ya kukutana na viongozi wa vyamba mbalimbali vya upinzani Tanzania na
kuzungumzia ishu ya bunge la katiba, iliamuliwa kwamba katiba ya zamani
ndio itakayotumika kwenye uchaguzi mkuu ujao ila itafanyiwa marekebisho.
Kwenye
ukurasa wake wa twitter President JK ambae alikua hajaandika chochote
toka Aug 6 2014, aliweka hiyo picha hapo juu ikimuonyesha kwenye mkutano
na viongozi hao na kuandika >> ‘Mazungumzo na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dodoma, Septemba 8, 2014. Demokrasia ni majadiliano’
Unataka niwe nakusogezea stori kama hizi kila wakati, ungana na mimi kwa kubonyeza hapa >>> Facebook
twitter niwe nakutumia usiku na mchana.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment