Skip to main content
Picha,Kilichomtokea Nicki Minaj Jukwani,Wanasema Makalio Yake Ni Feki

Kwenye show ya Fashion Rock Aliyofanya Rapper Nicki Minaj
inasemekana alikosea pozi na makalio yake kuonekana tofauti na yanavyoonekana
kwenye picha zingine na kuzua gumzo kuwa yanaweza kuwa feki kama iliyoripotiwa
miaka kadha iliyopita.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment