Wasaniii walioshiriki tamasha la Fiesta 2014 wakiwa na mishumaa jukwaani wakisambaza upendo na kuwafariji wale wote waliopotelewa na ndugu zao,waliojeruhiwa katika ajali iliyotokea hivi karibuni wilayani Butiama mkoani Mara,ambapo watu zaidi ya 40 walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
.jpg)
Sehemu
ya umati wa wakazi wa mji wa musoma wakiwa ndani ya uwanja wa
Karume,wakati tamasha la Fiesta 2014,likiendelea huku shangwe za hapa na
pale zikiwa zimetawala kila kona ya uwanja.

Madansa wa msanii Rachael wakionesha umahiri wao wa kucheza jukwaani

Msanii Rachael akiimba kwa hisia jukwaani kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Karume,mjini Musoma.

Mmoja
wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Barnaba ambaye kwa sasa
anatamba na wimbo wake mpya ujulikanao kwa jina la Waharade akiwaimbisha
wakazi wa mji wa musoma waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la
fiesta 2014

Mmoja
wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Barnaba ambaye kwa sasa
anatamba na wimbo wake mpya ujulikanao kwa jina la Waharade akiwaimbisha
wakazi wa mji wa musoma waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la
fiesta 2014

Mmoja
wa wasanii kutoka kundi la Weusi ,Nick wa Pili akiwarusha wakazi wa mji
wa Musoma kwenye tamasha la Fiesta 2014,lililofanyika ndani
ya uwanja wa Karume.

Sehemu ya wakazi wa Musoma waliojitokeza kwenye tamasha la Fiesta usiku huu ndani ya uwanja wa Karume

Nick wa Pili akikamua jukwaaani

Shilole akiimba kwa hisia jukwaani.

Mwanadada machachari awapo jukwaani,Shilole akiimba kwa madaha kabisa
kwenye jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Karume mjini Musoma.

Mmoja
wa wanamuziki mahiri ,Christian Bella ambaye kwa sasa anatamba na wimbo
wake wa nani kama Mama,akiwaimbisha wakazi wa musoma waliojitokeza kwa
wingi kwenye tamasha la Fiesta .

Pichani
kati ni msanii wa muziki wa kizazi kipya Rachael akiwa sambamba na
madansa wake wakilishambulia jukwaa la fiesta vilivyo ndani ya
uwanja wa Karume mjini Musoma
.jpg)
Mashabiki wakishangilia burudani iliyokuwa ikitolewa na wasanii mbalimbali jukwaani


Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment