Mwigizaji wa filamu nchini FaizaAlly amemwagana na mwanamuziki mkongwe
wa muziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ...
Kupiia Instagram, Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana
na Mh.Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment