MASKINI AUNT EZEKIEL, MSIBA WA GHAFLA WAZIMA BATA BATANI ZAKE NCHINI MAREKANI


Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amelazimika kusitisha bata alizokuwa akila nchini Marekani baada ya kupata msiba wa mdogo wake aliyefariki dunia juzikati.Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa mamtoni. Chanzo chetu makini kilieleza kuwa, Aunt alipata taarifa za mdogo wake huyo (si wa damu)aliyekuwa akiishi naye aitwaye Ziada kufariki dunia akiwa mamtoni hivyo ikamlazimu kurudi Bongo ili kushiriki kwenye mazishi

Comments