Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akikata utepe kuzindua rsmi Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya
safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema, wakati wa hafla ya
uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika Kijiji cha Kahunda Wilaya ya
Sengerema Mkoa wa Mwanza leo, Septemba 26, 2014. Kulia kwake ni Waziri
wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya viongozi. Picha na OMR
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akibonyeza Kitufye kuashiria uzinduzi rasmi wa Kivuko cha Tegemeo tayari
kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema,
wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika Kijiji cha
Kahunda Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza leo, Septemba 26, 2014.
Kuhoto kwake ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya
viongozi. Picha na OMR
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala Ufundi wa
Umeme-TEMESA, Eng. Mseline Magesa, wakati alipokuwa akikagua Kivuko cha
Tegemeo baada ya kukizindua rasmi leo Septemba 26, 2014 kwa ajili ya
kuanza kazi ya kusafirisha abiria na mizigo kati ya Kisiwa cha Maisome-
Sengerema, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika
Kijiji cha Kahunda Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza. Picha na OMR

akihutubia wananchi wa Kahunda Wilaya ya Sengerema, wakati wa hafla ya
uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika leo, Septemba 26, 2014. Picha na
OMR
Picha ya pamoja
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment