Anajulikana kwa jina la Lionel Messi anamiliki gari aina ya Maserai GranTurismo MC Stradale.Gari hii inathamani ya dola za kimarekani $143,000.
Hii ni gari ya Mcezaji wa Manchester United Wayne Rooney aina ya Overfinch Range Rover
Hii ni gari wa winga wa Real madrid mchezajii Cristiano Ronaldo aina ya BMW M6/Lamborghini Aventador
Hii ni gari ya mchezaji Mario Balotelli aina ya Audi R8/Maserati GranTurismo MC Stradale
Garii hii ni ya mchezajii Fernando Torres aina ya Aston Martin DB9
Nadhani utakuwa unamkubuka vema mchezaji David Beckham ambapo kipindi cha nyuma alishawahi kuvuma sana na magari yake laikini mpaka sasa anaendelea kufanya vizuri kwenye wachezaji wanaomiliki magari yenye thamani hii ni gari yake aina ya Jeep Wrangler/Porsche 911 Turbo/Rolls-Royce Ghost
Beckham kwa sasa ambaye amejikita zaidi kwenye maswala ya biashara na kuacha soccer la kulipwa
Anajulikana kama Clint Dempsey akiwa ni mchezaji kutoka marekani anaye ongoza kwa kulipwa vizuri kuliko wote marekani anamiliki gari aina ya Ford F-150 Raptor
Tuna maliza na mcheza Andres Iniesta yeye ana milki gari aina ya Bugatti Veyron
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment