Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia madhara ya mapigo ya
silaha mbalimbali wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho
ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Monduli, Arusha,
Septemba 5, 2014.
Sehemu ya askari wakitoka katika mapambano wakati wa ufungaji wa zoezi
la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na viongozi wengine wakisimama kwa wimbo
wa Taifa wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka
50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Monduli, Arusha, Septemba 5,
2014.
Askari wa kikosi cha mizinga akichukua taswira meza kuu wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na viongozi wengine wakipata picha
ya kumbukumbu na sehemu ya wapiganaji wakati wa ufungaji wa zoezi la
medani la maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ) Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza askari
wanawake walioshiriki katika mapambano wakati wa ufungaji wa zoezi la
medani la maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014.
PICHA NA IKULU.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment