Mashabiki wakimng'ang'ania msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ wakati wa shoo ya nani kama Mama.
Katika usiku huo, wiki iliyopita, Ommy Dimpoz alikuwa akimsindikiza
Christian Bella, aliyekuwa akizindua albamu yake iitwayo Nani kama Mama.Ommy Dimpoz alifanya makamuzi ya nguvu ambapo warembo kadhaa walimvaa jukwaani na kumng’ang’ania, huku wakionekana kuzungumza maneno ya kumshawishi kimahaba, lakini mkali huyo wa kibao cha Baadaye ‘aliwapotezea’.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment