BIFU MWANZO MWISHO BONGO MUVI: STIVE NYERERE ATOA UJUMBE MZITO SOMA HAPA


Aliyekuwa mwenyeketi Bongo movie na baadae kujivua gamba Steve Nyerere Jana ameandika ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa Facebook usome hapo chini kwenye picha yake.. Nadhani ndani ya Bongo movie kuna tatizo kubwa linafukuta


Comments