| Mwenyekiti
wa Baraza la Wanawake Taifa Chadema, (BAWACHA), Halima Mdee akisisitiza
jambo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo
juu azma ya baraza hilo la wanawake kufanya maandamano makubwa ya
kumshinikiza Rais Jakaya Kkwete asipokea rasimu iliyotengenezwa na
bunge maalum la katiba. mwenyekiti huyo alimesema maandamano hayo
yamepangwa kufanyika katika wiki ijao hajataja siku gani lengo kubwa la
maandamano ni kufikishwa ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya
Kikwete kuwa rasimu hiyo si ya wananchi huku akisema yatakuwa ya amani
tuu |
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment