Miss
Tanzania USA Pageant wa 2013 Joy Kalemera akimvisha taji miss Tanzania
USA pageant 2014 Aysha Cheyo siku ya Jumamosi Aug 31, 2014 Baada ya
kunyakua taji hilo kwenye mashindano ya umiss yaliyofanyika Slvr Spring,
Maryland nchini Marekani.
Miss
Tanzania USA pageant 2013 Joy Kalemera akipigia makofi mshindi mpya wa
taji hilo Aysha Cheyo mara tu baada ya kumaliza kumvika taji hilo.
Aysha Cheyo na Joy Kalemera wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi wa Miss Tanzania USA Pageant Ma Winny Casey.
Mshindi
wa Miss Tanzania USA Pageant Aysha Cheyo akiwa katika picha ya pamoja
na mshindi wa pili Kupewa Mushala (kushoto) na mshindi wa tatu Jessica
Lavius na miss Congeniality ni Grace Mlingi.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment