Rapa
bora wa kike, Onika Tanya Maraj 'Nicki Minaj' akiwa katika pozi tata na
Aubrey Drake Graham 'Drake' wakiwa katika utengenezaji wa video ya
wimbo wake ‘Anaconda’.
Jana August 18, 2014 Nicki ameshare picha nyingine za video hiyo inayomuonesha yeye akiwa amekaa katika mtindo wa mitego tata mbele ya Drake aliyekaa kwenye kiti.
Anaconda ni wimbo mpya unaotoka kwenye albam ya ‘The Pink Print’ na rapper huyo wa Young Money anatarajiwa kuuimba Live wakati wa utoaji wa MTV Video Music Awards, Jumapili, August 24
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment