Msanii wa muziki Tiwa Savage kutoka nchini Nigeria ameweka wazi kuwa, amewahi kukumbana na changamoto kubwa ya kuonewa na wenzake kipindi akiwa mtoto, kutokana na asili yake ya uafrika.
Tiwa
amesema kuwa, alikabiliana na changamoto hii akiwa shuleni wakati
walipokuwa wakiishi Jijini London, rangi na lafudhi yake ya kinaijeria
vikiwa ni vitu ambavyo vilimfanya aonekane tofauti na achukiwe na
wenzake.
Tiwa ameweka wazi kuwa, msaada wake mkubwa kutoka katika shida hii ilikuwa ni mama yake ambaye alimpa moyo kwa upendo na kumsaidia kuona thamani yake na ya asili yake, kitu kilichomjenga kuwa mtu mkubwa leo.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment