
Rihanna ambaye yuko kwenye Tour ya Monster na Eminem, amepata mapumziko kidogo na kuamua kutoka kwa ajili ya kupata chakula cha usiku kwenye mgahawa lakini mavazi aliyoamua kutoka nayo huenda yanampendeza yeye peke yake.
Mwimbaji huyo alitoka na vazi la usiku laini huku chini akiwa amepiga sneakers zake zenye rangi nyeusi.
![]() |

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment