MNYAMA ADIMU KAKAKUONA AONEKANA DAR, WATU WAJAA KUMSHANGAA!
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Kakakuona akitembea.Mama Mwita akimshika Kakakuona baada ya kuingia nyumbani kwake.
Mnyama Kakakuona akiwa kawekewa shilingi mia tano kwenye magamba yake.Msanii wa maigizo Alisante Filiph, akimshika Kakakuona.Watu wakiingia katika duka la Mama Mwita kumtazama mnyama huyo.Duka alilotunziwa Kakakuona baada ya kuonekana.
WAKAZIwa Mbezi juu wamefurika kumuona mnyama Kakakuona ambaye ni adimu
sana kuonekana, huku wengine wakiamini wamepata bahati katika maisha
yao kumuona kiumbe huyo, ana kwa ana baada ya kumsikia na kumsoma katika
vitabu.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment