Wanasema picha huongea maneno 1,000. Baada ya kuendelea kwa uvumi kuwa ndoa ya Lady Jaydee na Gadner G Habash imevunjika, muimbaji huyo amepost picha akionesha pete ya ndoa kwenye kidole chake.
Kupitia
ukurasa wake wa Facebook wa Lady Jaydee ameandika ujumba tofauti na
picha lakini mashabiki wake wameelewa kuwa ni ujumbe anaoutoa kufuatia
tetesi hizo.
“Kucha zimekosa rangi ya OriFlame tu, ili zing’ae zaidi ya hapo,” ameandika Lady Jaydee.
Huu ni baadhi ya ujumbe kutoka kwa mashabiki wake.
Anna Julius
Tetea ndoa yako dada, achana na maneno ya wa2.
Saumu Kinqo
eee tumeona pete bado ipo kutofautiana kwenye ndoa ni jambo lakawaida mnayamaliza na maisha yanaendelea big up
John Sosteni
Assey Inamaana ndoa iko powa jide komaa wewe mkubwa bwana kunamambo mengi sana mnatufundisha
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment