Kuwa wa kwanza kuitazama video mpya ya Nicki Minaj - Anaconda



RAPPA, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji kutoka Marekani aliye chini ya lebo ya Young Money Entertainment, Onika Tanya Maraj 'Nicki Minaj' leo ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Anaconda’  baada ya kuufanyia promo ya kutosha katika mitandao mbalimbali

Comments