![]() |
![]() |
| Mafundi wa Tanesco wakiwa kwenye jitihada zao katika mji wa Runzewe. |
Wameiomba serikali ifanye jitihada za kuleta umeme kwani wamechoka kutaabika na umeme wanaotumia sasa.Katika mkutano uliofanyika hivi karibuni Mbunge wa jimbo la Bukombe Pro Kahigi alitoa ahadi kuwa ifikapo mwezi wa 11 (november) mwaka huu umeme utakuwa umewaka.Swali kubwa ambalo wanajiuliza baadhi ya wananchi je kweli umeme utawaka kama walivyo ahidi au mpaka kampeni zifike?


Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment