Hivi ndivyo Ali Kiba Alivyopagawisha Serengeti Fiesta Tanga.....Mashabiki walimlazimisha kuurudia wimbo wake mara 10
Gwiji la muziki wa kizazi kipya, Alikiba, alitoa burudani ya nguvu kwa Wanatanga kwa wimbo wake mpya-Mwana Dar es salaam- usiku wa Serengeti Fiesta Tanga, katika viwanja vya Mkwakwani jinjini Tanga, hali iliyomfanya alazimishwe na mashabiki hao kuurudia wimbo huo mara 10 zaidi.
Akiwa
jukwaani, Alikiba alilazimika kuuruduia wimbo huo kwa zaidi ya mara 10
kwani pindi alipoonyesha dalili ya kumaliza kuimba, mashabiki zake
walipiga kelele kuomba arudie kwa mara nyingine.




Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment