Kwa show hizi 3 za mwanzo ambayo ni Mwanza,Bukoba na Kahama bado zinawachanganya mashuhuda ambao wameshuhudia hizi show kutafuta sehemu gani zaidi ilikuwa na wahudhuriaji wengi kwani mpaka sasa bado hawajapata jibu.
Kahama wamekuwa na utulivu watu wa nguvu wakati tuna enjoy pamoja msimu huu wa mafanikio wa Serengeti Fiesta 2014.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment