Mashabiki wakiingia katika uwanja wa New City Pub kushuhudia Kili Music Tour
Mkali kutoka Mbeya Izzo Bizness ndani ya backstage.
Chibwa anaefanya miondoko ya Ragga ndie aliifuungua show ya Kili Music Tour Mbeya
Shilole akionyesha uwezo wake wa kulishambulia jukwaa ikiwa ni pamoja na kumpandisha jukwaani mmoja wa mashabiki.
Rich Mavoko na madansa wake stejini
Mashabiki wakifurahia wasanii wanavyolishambulia jukwaa
Wadau wakifuatilia kinachojiri jukwaani toka pembeni ya jukwaa la Kili Music Tour.
Mtoto wa nyumbani Izzo Bizness akiiwakilisha Mbeya katika Kili Music Tour
Profesa Jay akimbulisha Mbunge wa Mbeya Mjini Mheshimiwa Joseph Mbilinyi, Sugu.
Mtangazaji wa Planet Bongo, Dullah hakuwa nyuma katika kuchukua matukio yanayoendelea jukwaani.
DJ Mafuvu katika mashine akihakikisha wasanii na mashabiki wanakwenda sawa
Zamu ya Weusi na Viburi kuifunga show ya Kili Music Tour, Mbeya
Profesa Jay na Sugu wakifuatilia michano ya Weusi
Mashabiki wakionyesha love ya kutosha kwa Weusi.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment