WATU
16 wamepoteza maisha huku 75 wakijeruhiwa baada ya basi la AM
lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Mpanda kugongana uso kwa uso na basi
lingine la Sabena linalofanya safari zake Mbeya - Tabora katika eneo la
Mlogoro, Sikonge mkoani Tabora jana.
Basi la basi la AM baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Sabena katika eneo la Mlogoro, Sikonge mkoani Tabora jana.
Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la ajali.
Kushoto ni baadhi ya miili ya abiria waliopoteza maisha katika ajali hiyo. Kulia trafiki na
wananchi wakiwa eneo la ajali.
Uso kwa uso: Hivi ndivyo ajali hiyo ilivyokuwa na kuondoa uhai wa wananchi 16 na kujeruhi 75.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment