Taarifa ya kukwapuliwa kwa Account ya Faceboook ya Meya Jerry Slaa


Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya Facebook ime-hack-iwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.

Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hack-iwa.

Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote walopatwa na usumbufu huu.

Jerry Silaa

Comments