PICHA: Mwili wa George Tyson ulipowasili Jijini DAR

1
 Dada wa marehemu Tyson, Doreen akilia kwa simanzi baada ya mwili wa kaka yake kuwasili katika hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es salaam jana jioni.
2
 Jeneza lenye mwili wa George Tyson likiingizwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar.
3
Wadau wa tasnia ya filamu wakiwa na jeneza la Mwili wa Tyson ukiwa mochwari katika Hospitali ya Kairuki.

Comments