NI VILIO TU NYUMBANI KWA MAREHEMU MZEE SMALL, TAZAMA PICHA ZA HALI ILIVYO June 08, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Mke wa marehemu Mzee Small, Bi. Fatuma Said akiwa na simanzi nzito. Wasani Jumanne Shabaan 'Made Matata', Mbembe (katikati) na Habib Mrisho 'Sumaku' (kulia) wakijadiliana jambo msibani. Baadhi ya watoto wa marehemu, aliyesiama Abdul, aliyekaa Abdulahaman na mdogo ni Said wakitafakarii jambo. Baadhi ya waombolezaji wakiwa msibani. Maandalizi ya sehemu ya kukaa. Sehemu ya kukaa waombolezaji. Moja ya nyumba za Mzee Small. (PICHA NA GABRIEL NG'OSHA / GPL) Comments
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment