DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOTEMBELEA SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Kumbe hata wazungu wanamjua Diamond Platnumz ndani ya Safari Restaurant. Diamond akiteta jambo na Msaidizi wa Balozi wa Tanzania nchini Marekani ndani ya Mgahawa wa Safari. Samaki na ndizi za kukaanga ndani ya restaurant hiyo. Mbuzi wa kukaanga.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment