Balaa…Huyu Ndio Kimwana wa miaka 17 anayedai kubakwa na mume wa FLORA MBASHA

Mume wa muimbaji wa muziki wa injili Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameendelea kulikimbia jeshi la polisi kwa tuhuma za kumbaka shemeji yake. Hadi sasa haijulikani alipo. Hata hivyo, picha ya anayedaiwa kuwa ndiye shemeji yake imesambaa kwenye mitandao ya kijamii na kuzua utata mtupu.
Unahisi Mbasha alishindwa kujizua kutokana na jinsi msichana huyu anavyovutia?
Msichana mwenye miaka 17 anayedaiwa kuwa ndiye aliyebakwa na Emmanuel Mbasha
Msichana mwenye miaka 17 anayedaiwa kuwa ndiye aliyebakwa na Emmanuel Mbasha

Comments