Tazama Ujumbe Mzito Aliyoandika K-Lyine Kwenda Kwa MUMEWE REGINALD Mengi Ikiwa Leo Ndiyo Birthday Ya Mengi
Leo
ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa
marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM,
mwanamama Jacqueline
Ntuyabaliwe aka K-Lyin amemtumia salamu mzazi mwenzie kwa kuweka picha hii:
Ntuyabaliwe aka K-Lyin amemtumia salamu mzazi mwenzie kwa kuweka picha hii:
Nakuandika ujumbe huu:
Wishing my love,best friend,father of my kids and the most wonderful human being I know Reg,a Very Happy Birthday ������������ With all my love.
Mtandao Huu unakutakia furaha na maisha marefu mzee wetu!!
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment