ITAMBUE FILAMU ILIYOMSABABISHIA WOLPER KIZAAZAA KWA MASHABIKI MWAKA HUU 2014


Hii ni moja kati ya picha za Wolper akiwa mbele ya Camera katika utengenezaji wa Filamu hiyo ya TomBoy

Mwanadada Wolper akiwa katika pozzz na Director Mtunisy


Huu ndio muonekano wa mbele ya kava la Filamu husika.

Filamu hii imeingia rasmi sokoni mnamo tarehe 1/5/2014 na kukonga nyoyo za mashabiki wa filamu za kitanzania hatimaye kumuongezea Jacklin Wolper idadi ya mashabiki hii ni kwa mujibu wa wauza CD kusema kwamba filamu hio imetikisa anga za filamu TZ huku wanunuaji wengi wa Filamu hio ya TomBoy wakizungumzia baadhi ya vipengele alivyovicheza mwanadada huyo na Mtunisy.. TomBoy ipo sokoni kwa sasa na inaendelea kufanya vizuri kwa mauzo.

Comments