HUU SASA WIVU...BAADA YA KUSHINDA TUZO 7...WATU WASEMA ETI DIAMOND ALITINGA NA SKETI UKUMBINI


Wajameni mimi sijui mshamba au ndo kupitwa na mambo , hivi hii staili ya kuvaa sketi kwa wanaume ndio fashion sasahivi ama?  Diamond aliingia na sketi hiyo hapo juu ....nikabaki midomo wazi......Je ni sawa?

Comments