Diamond atwaa tuzo 7 za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2014 ......Fid Q na Weusi watamba kwenye hip hop
Diamond Platnumz akipokea mojawapo ya tuzo zake kutoka kwa baby wake, Wema Sepetu .
Diamond akiwa na mojawapo ya tuzo zake
Mshindi wa tuzo saba (7) za Kilimanjaro Music Awards, Diamond Platnumz akiwa katika pozi na mpenzi wake Wema Sepetu.






Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment