“Sikuwahi kumtongoza Wema na mwanaume anayemtongoza hana kazi maana Wema anajipeleka mwenyewe…” Chalz Baba
Rais wa Mashujaa Band, Charles Gabriel aka Chalz Baba ameibuka baada ya kuulizwa swali na mwandishi wetu kuhusu ni nani alianza kumtongoza mwenzake hadi kuanza mahusiano yenu.

Chalz Baba alifunguka hivi “Sikuwahi kumtongoza bali nilikuta nimesha-date nae hata hivyo kwa mwanaume anaye mtongoza Wema hana kazi, coz mimi siamini kama Wema anatongozwa naamini huwa tu anaenda mwenyewe ahahaaahaahah yule siyo demu kabisa duh! asijisifu kuwa nilishawahi kumtongoza unanionaje kwanza nina jina kubwa bwana watu wanajileta”

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment