RAY C Amchana LORD EYEZ baada ya kukamatwa kwa wizi wa LAPTOP



Aliyekuwa mpenzi wa rapper Lord Eyez, mwanamuziki Rehema Chalamila aka Ray C amezungumzia kuhusu sakata la wizi linalomkabili rapper huyo ambaye ni member wa group la Nako 2 Nako Soldiers.

Comments