Angalia picha za mtu aliyejitambulisha kwa jina la Shabani Hamisi
alikuwa akijihusisha na vitendo vya kishirikina, akiwa chini ya
wanamaombi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Arusha mara baada ya mtu huyo
kukamatwa usiku wa kuamkia leo wakati wa maombi kanisani hapo ambapo
ametoa maelezo mbalimbali namna alivyokuwa akishiriki katika vitendo
hivyo vya kishirikina.
 |
Shabani akiwa na vitenda kazi vyake akiwa eneo la kanisa. |
 |
Akiwa amevua shati huku akiwa anaombewa. |
 |
Vitenda kazi vyake vikiwa vimemwagwa chini.
|
 |
Kazi kwelikweli. |
 |
Alikosea njia meeen, akakutana na Yesu meen. Picha kwa hisani ya Ufufuo Crew. |
Katika hali isiyo ya kawaida mtu huyu ajulikanaye kwa jina la Shabani
Hamis amenaswa akiwa anafanya uchawi katika kanisa la Ufufuo na Uzima
Arusha.
Matukio ya kunaswa wachawi yamekuwa mengi kanisani hapo
kutokana na uweza wa Mungu unaojidhihirisha kupitia Mchungaji Kiongozi
wa kanisa hilo, Frank Andrew.
Pamoja, na kukutwa bila nguo mtu
huyo aliyekuwa amebeba vifaa ambavyo kwa mujibu wa maelezo yake,
huvitumia kuwanga na kupaa ni pamoja na tunguli na kikapo cha mkoba wa
uchawi. Tukio hilo la aina yake limetokea Usiku wa saa sita, wakati
mkesha wa maombi ukiendelea kanisani hapo.
Baada ya maombi makali
ya kuharibu uchawi katika anga la Arusha, ikafuatiwa na tukio hilo.
Mungu ni mkuuu maana hapana uchawi wala Uganga juu ya watu wa Mungu.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment