Paparazi
wetu aliwanasa wakipeana ladha wazi wazi na kila mmoja kuonekana
mdhaifu kwa mwenzake,Dj Abou pamoja na mheshimiwa huyo baada ya kushtukua amenaswa na paparazi
wetu,Alimshushia mkwala mzito sana na kutishia kufunja camera ya
paparazi wetu, lakini mkwala huo uliishia kupotelea angani baada ya
wasamaria wema kuja kumaliza mzozo huo.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment