Skip to main content
DIAMOND KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO NYINGINE...WAGHANA WAMGOMBANIA KUFANYA NAE COLLABO
Hakika
Diamond si Mwenzetu Sasa hivi Baada ya Video yake ya Number 1 Remix
kufanya vizuri na kufikia kukamata namba moja katika kituo kikubwa cha
Tv Trace sasa amekuwa kama lulu, Unaambiwa wasanii mbali mbali kutoka
Ghana na Nigeria wanamtafuta kufanya nae Collabo ....Diamond
Amehabarisha kuwa siku si nyingi ataelekea pande hizo za Nigeria
kufanya Video mpya ambayo bado hajasema ni wimbo gani, Pia atapitia
Ghana kufanya Collabo Kadhaaa....Big Up
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment