KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI
TUKIO HILO LA KUSIKITISHA LIMETOKEA MNAMO TAREHE 22.03.2014MAJIRA YA SAA 18:00 JIONI HUKO KATIKA KATA YA MIGOMBANI, TARAFA YA TUNDUMA,
WILAYA YA MOMBA AMBAPO BAADA YA UHALIFU HUO, MTUHUMIWA ALIFUNGA MLANGO
KWA NJE NA KUFULI NA KUTOKOMEA MAHALI KUSIKOJULIKANA. WAPELELEZI PAMOJA
NA RAIA WALIPOVUNJA MLANGO NA KUINGIA NDANI WALIKUTA MAITI YA MTOTO
HUYO IKIWA KITANDANI. KATIKA CHUMBA HICHO WALIKUTA UJUMBE WA MANENO
MENGI YALIYOANDIKWA NA MTUHUMIWA, BAADHI YA MANENO HAYO NI “UNYAMA UNYAMANI, TUTAFUTE PESA KWANZA NIITE J.M A.K.A GAIDI”. JITIHADA ZA KUMTAFUTA ZINAENDELEA.
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI
ANATOA WITO KWA YEYOTE MWENYE TAARIFA ZA MAHALI ALIPO MTUHUMIWA WA
TUKIO HILI AZITOE KATIKA MAMLAKA HUSIKA ILI AKAMATWE NA HATUA ZAIDI ZA
KISHERIA ZICHUKULIWE DHIDI YAKE.
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment