0



JIWA MOJA AMBAYE AKUJULIKANA ALITOKA WAPI KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KAHAMA KABLA YA KUPEWA KWA DHAMANA KWA WAFASI WA CHADEMA NA MBUGE WAO SLYVESTER KASULUMBAYI .

MBUGE WA MASWA SLYVESTER KASULUMBAYI WAKIWA NA VIONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA KAHAMA NA MWENYEKITI JUMA PROTEX WAKITOKA MAHAKAMANI BAADA YA KUKIDHI HATI YA DHAMANA

MBUGE WA MASWA SLYVESTER KASULUMBAYI WAKIONYESHA VIDOLE JUU WAFASI WAO BAADA YA KUPEWA DHAMANA .


WAKIWA NA FURAHA BAADHI YA VIONGOZI WA WILAYA WA CHAMA CHA MAENDELEO NA DEMOKRASI CHADEMA WAKITOKA NJE YA MAHAKAMA YA WILAYA

HIVI NDIYO HALI YA KUWA HURU KWA MBUGE WA MASWA MASHARIKI KWA TIKETI YA CHAMA CHA DEMOKRASIA MAENDELEO CHADEMA.


BAADHI YA WAFASI WA CHADEMA WAKIWA NA FURAHA BAADA YA WEZAO KUPEWA DHAMANA

HATA HIVYO PIKIPIKI NAZO ZILIKUWEPO KWA MAPOKEZI KWA KWENDA OFISINI KWAO

KAMA ULIKUWA BADO HAUJAJIUNGA NAMI MOJA KWA MOJA ONLINE KWA MAPICHA ZAIDI

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment

 
Top

SOMA HABARI KEM KEM KUPITIA BLOG YAKO PENDWA YA HISIA ZA MWANANCHI HAPA

X