MWANASIASA ALIYEMFANANISHA RAIS WA ZAMBIA NA KIAZI ASHTAKIWA January 07, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps SHEBBY D BLOG Mwanasiasa mmoja wa upinzani nchini #Zambia ameshtakiwa kwa kosa la kumharibia sifa rais wa nchi hiyo kwa kumfananisha na kiazi. Mwanasiasa huyo Frank Bwalya akikutwa na hatia anakabiliwa na kifungo cha miaka mitano jela. Comments
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment