MAPOKEZI YA MWILI WA WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI DK WILLIAM MGIMWA NAMNA ULIVYOWASILI MKOANI IRINGA TAYARI KWA MAZISHI.

unnamed2_6f0ab.jpgJeneza lenye mwili wa waziri wa fedha na uchumi Dk William Mgimwa likiteremkshwa kutoka kwenye ndege.


 unnamed1_3161e.jpg
 unnamed4_24a6e.jpgMadiwani wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mgimwa.unnamed5_babac.jpgJeneza likiwasili katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo.unnamed9_0ce99.jpgWananchi wakiwa katika foleni ya kuaga mwili huo.

Comments