Happy New Year 2014....Asanteni wasomaji wetu kwa sapoti mliyotupa mwaka 2013


Timu  nzima  ya  mtandao  huu  inapenda  kuwatakia  heri  ya  mwaka  mpya  wasomaji  wetu  wote  popote  walipo  nchini  Tanzania  na  duniani  kwa  ujumla....

Moyo  usio  na shukrani hukausha baraka zote, hivyo  kwa moyo mkunjufu   kabisa, Shebby D  blog  inapenda  kutoa  shukrani zake  za   dhati kwako   wewe   msomaji wetu  kwa sapoti yako  kubwa    uliyotupa  mwaka  2013  na  kutufanya  kuwa  miongoni  mwa  mitandao  bora  kabisa  nchini  Tanzania. Kwa  kweli  tunawashukru  sana, Mwenyezi Mungu  muumba  wa  vyote  awabariki  sana.

Tunawatakia  kila la kheri katika Mwaka huu mpya wa 2014

Comments