KIBOPA AGOMBANIWA NA WADADA WA TANAO WAKIWA NUSU UCHI


Wanawake 5 wakimgombania mwanaume mmoja, barabarani nusu uchi, mpekuzi wa maisha, udaku specialWanawake watano wakimgombea mwanaume Mmoja Barabara wakiwa nusu uchi kamera ya SHEBBY D BLOG iliwanasa wakiwa wanalumbana kuhusu huyo mwanaume nani kati yao atakae ondoka nae na SHEBBY D BLOG ilipata nafasi ya kuzungumza na kibosire huyo na kudai ya kuwa yeye alikuwa anapita ghafata akamuona dada mmoja akamuita nakumwambia kuwa ana mpenda ndipo lilipo tokea kundi la wadada wanne nao wakitaka kuondoka na kibopa huyo

Comments