AIBUU...!WANAFUNZI WA KITANZANIA VINARA WA BIASHARA YA NGONO UGANDA...!FUATILIA ZAIDI HAPA...




Wanafunzi wanao toka Tanzania kwenda Uganda baadhi yao wamekuwa wakitia aibu pindi wanapokuwa huko. Wamekuwa wakijiingiza kwenye makundi mabaya na tabia chafu, wengi wao hupanga vyumba mitaani na kuishia kuomba pesa tu kutoka kwa wazazi na hawaendi shule wanaishia kunywa pombe na kukesha club.
Danguro hili liko huko kikoni kampala ambako kuna jopo kubwa la watoto wa kitanzania wanaoishi magetoni ambao hata hawajulikana shule wanaenda saa ngapi.                 NOMA SANA..!!

Comments

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment