Mwigizaji Rose Ndauka
amesema kuwa anapumzika kwenye tasnia ya
filamu kwa mwaka mmoja kwakuwa filamu za Tanzania zinafanana sana na
anataka aje na kitu kipya na tofauti.
Kwa mujibu wa gazeti la mwanaspoti Rose Ndauka amesema wazo hilo limetokana na tatizo la kufanya kazi zinazojirudia mara kwa mara, hali iliyomfanya aamue kujipa likizo ya muda ili kujipanga.
Hata hivyo kauli hiyo inaweza kuwa na utata muigizaji huyo ni mjamzito kwa sasa na huenda hiyo ndio ikawa ni sababu kubwa ya yeye kusimama kwa muda.

Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment