Skip to main content
PICHA: BIBI MCHAWI APIGWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KUDONDOKA KWENYE NDEGE ALIYOKUWA ANASAFIRIA...
Bibi mmoja ambaye jina
lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya
Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao
kumuacha.Bibi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa
kumtuhumu ni
mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana
kutokuwa
na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya
kufumaniwa na RAIA.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment