Skip to main content
Msanii TID atupwa mahabusu kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi demu wake..!!
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo
mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya
kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana
anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, Mariam Nnauye.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment