-->
Vyumba vya kulala vipo vingi kiasi
kwamba wakati mwingine inabidi kuwasiliana kwa simu chumba hadi chumba
kwasababu ya umbali wa kufikia vyumba vingine pia kuna ofisi binafsi
kiasi kwamba unaweza usiende sehemu yoyote kazi zako zote zikafanyika
ndani ya hizi heka 40.
Upande wa michezo kuna uwanja wa
kucheza golf, basketball, swimming pool kubwa likiunganishwa na water
falls na pia kuna eneo kubwa sana la wazi na humo ndani kumewekwa nakshi
na material ya gharama kuanzia dinning, jikoni hadi vyumbani.
Comments
Post a Comment
toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment