KAZI MPYA KUTOKA KWA MSANII WA NYAKANAZI BIHARAMULO "BIG POPA - BILA WEWE"

Huyu ni msanii mpya kabisa kutoka kanda ya ziwa mji wa Nyakanazi wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Kazi hii amefanyia DX VIDEO MEDIA anapatikana RUNZEWE na Audio amefanyiwa MTEKO RECORD studio mpya nayo inapatikana RUNZEWE. Msanii Big Popa anahitaji sana sapoti yenu wadau wa bongo.


Comments

  1. nimeipenda sana video hii jamaa anafanya powa sana ni mgeni kwenye gem lakini kafanya powa sana tu. Anachotakiwa akaze buti big up kwake.

    ReplyDelete

Post a Comment

toa maoni yako hapa pia usisahau kuweka coment