Kaa mkao wa kutazama video yangu mpya ya salam zao kesho ....Nay Wa Mitego

Nay wamitego akiwa kwa stegi .....Ameandika msanii Nay kupitia acount yake ya facebook akiwataarifu mashabiki wake kuwa video yake mpya kuwa kesho itakuwa hewani.


Comments